Mei 21 kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Chai, kinywaji kinachopendwa na mamilioni ya watu kila siku. Hunywewa kwa amani majumbani, maofisini, mitaani na hata bungeni. Lakini historia ya chai ...